Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Nilijiunga na jf mwaka 2014 baada ya mwenzi nikasahau password zangu nikawa nazifikiri atimaye leo nimezikumbuka nikaribishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa ametoa sadaka[emoji3][emoji3]Pole sana kwa mkasa uliokukuta ila angalia siku moja usije sahau password za benki
AsanteHongera, bas karibu tena
Benki siwezi kusahau ata nikipoteza kumbukumbuPole sana kwa mkasa uliokukuta ila angalia siku moja usije sahau password za benki
kwa hiyo ndio ukafungua ile i.d nyingine ya innocentkirumbuyo ?Nilijiunga na jf mwaka 2014 baada ya mwenzi nikasahau password zangu nikawa nazifikiri atimaye leo nimezikumbuka nikaribishe
Innocent kirumbuyo ni mwinginekwa hiyo ndio ukafungua ile i.d nyingine ya innocentkirumbuyo ?
Umri tenaYaani miaka 2 ulikuwa una retrieve data duh! we kweli noma. Siku nyingine password yako weka umri wako wa kuzaliwa kama wanavyofanya kwenye tigo pesa.