Leo nimekumbuka password zangu baada ya miaka miwili

Innocent Kirumbuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,641
Reaction score
4,457
Nilijiunga na jf mwaka 2014 baada ya mwenzi nikasahau password zangu nikawa nazifikiri atimaye leo nimezikumbuka nikaribishe
 
Yaani miaka 2 ulikuwa una retrieve data duh! we kweli noma. Siku nyingine password yako weka umri wako wa kuzaliwa kama wanavyofanya kwenye tigo pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…