rusesa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2013
- 538
- 234
leo ni siku ambayo nimekutana na rafiki yangu kipenzi. Basi akaamua kunipeleka viwanja fulan hapa dar!
Nikamwona rafiki yangu akiagiza bakuri mbili za supu! zikaletwa, kuzichek nikakuta ni supu ya kongoro, tena kwato za ng'ombe. Basi tukainywa!
Aiseeee... kumbe supu ya kongoro tamuu mjarabu!
Na maisha yangu mazuri na pesa na kazi nzuri, nilikuwa sijawahi kunywa supu hii!