we mburula kweli kakwambia nani venie pesa na maisha mazuri hawali soup ya kongoro? mimi nimekuwa nikiila sana hardi na barack obamaleo ni siku ambayo nimekutana na rafiki yangu kipenzi. Basi akaamua kunipeleka viwanja fulan hapa dar!
Nikamwona rafiki yangu akiagiza bakuri mbili za supu! zikaletwa, kuzichek nikakuta ni supu ya kongoro, tena kwato za ng'ombe. Basi tukainywa!
Aiseeee... kumbe supu ya kongoro tamuu mjarabu!
Na maisha yangu mazuri na pesa na kazi nzuri, nilikuwa sijawahi kunywa supu hii!
Duh umeuaNaskia inaongeza CD4 kwa waathirika labda rafiki yako kaliona hilo
hahahahaOk,yatosha tu kusema hujawahi kunywa supu ya kongoro..hayo mrngine ya pesa,kazi na maisha mazuri yametokea wapi au kongoro sh.ngapi.Either tangaza kuna warembo/mrembo unataka kumng'oa hapa kwa gear hiyoo!