Leo nimemfungulia mdogo wangu wa darasa la tano akaunti ya JamiiForums

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
Nimeona bola ajiunge umu tu kuliko kujiunga fb naona mpaka akimaliza la saba atakuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja.
 
Duh, sasa akiingia lilejukwa pendwa linalokaribiana na jukwaa la wakubwa?
 
Nimeona bola ajiunge umu tu kuliko kujiunga fb naona mpaka akimaliza la saba atakuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja.
La tano! Huenda ukamharibu badala ya kumjenga. Jf kuna mchanganyiko wa mambo mazuri na mabaya pia, darasa la tano hatakua na uwezo wa kuchagua lipi zuri alifate na lipi baya aliache. Think twice
 
Unataka kumharibia kiswahili tu. Ujue watu wengi humu wana matatizo ya r na l. Dogo atajikuta shuleni anaandika l mahali pa r na kinyume chake.
 
Aisee kumbe ndio maana matusi hayaishi humu jamvini??

Tatizo ni umri.

Na wewe una miaka mingapi ndugu??
 
Mtoto wa drs la 5 na simu kubwa kubwa . Hawezi kufanikiwa umemharibu !!!.
Hatakomea only Jf ataenda mbali zaidi, na atakaporudi darasani lazima a disco
 
Asipobeba tunguri za mshana, basi mabazazi wa MMU watakusaidia kulea!
 
Aisee kumbe ndio maana matusi hayaishi humu jamvini??

Tatizo ni umri.

Na wewe una miaka mingapi ndugu??
Ila sio siri stroke,hiyo avatar yako unaweza kuibadili?kama inawezekana ntashukuru.
 
Haha kaza roho mkuu.. tafuta mtu anaitwa Ushimen Avatar yake uone mbona hii kawaida tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…