mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Ngoja niusubscribe kbsa huu uzi maaan Mitale na Midimu hujawah kuniangusha
Nataman sana kumwona huyu mtu lakin sababu wote tutaingia shamban tutakutana siku moja hata sokoniHuyo mkuu jina lake pia limenifurahisha sana. 'Mitale na Midimu'... yani 'Makubwa na Magumu'.
Anaonekana ni mpambanaji.
-Kaveli-
Moro ndio kituo changu cha uwekezaji. Ninazama kidogo na kuweka mitego ya kiuchumiardhi naona ni vyema niwe kimya kwa sasa hadi siku itakapo kaa sawa na kuja kutoa ushuhuda uliokamilika. Lakini bado napambana mkuuKweli mkuu umefikia wapi sasa na unalima mkoa gani?
Mkuu tupe mrejeshoMkuu huwezi kujua ni kwa jinsi gani Thread yako ilihamasisha watu wengi kuhusudu kilimo nikwemo na mimi.
Bila kujali Changamoto Ulizopitia ulikuwa hero wa kipindi chako.
Ulinisababisha kwenda kufyeka shamba pori hekari 15 kwa ajili ya kulima Ufuta japo nilikumbwa na changamoto sikufanikiwa,Lakini hadi sasa napambana nikiamini "KAMA UNATAKA MALI NENDA KAIFUATE SHAMBANI".
Inawezekana...
Uzi huu...
Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi