Pre GE2025 Leo nimemkumbuka Nape wa 2015. Alidai CHADEMA wanataka kupeleka marehemu Ikulu na kumuacha mzima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwaunafki Tunafuatilia Kujua Endapo Atakwenda Msibani Nape
 
Watu mnatunza mafaili.
 
Inasikitisha sana! Hii kauli itamtafuna milele na Milele.
Ndio maana wahenga walisema ulimi kiungo kidogo ila matokeo yake ni makubwa.

Tujihadhari na ulimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…