Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Yule paka usiku huu alikuwa pembeni ya barabara pale karibu na Ubalozi wa Oman, Mikocheni.
Nimekwenda nikamwona, a kitten, a scraggy kitten, nikafikiria kumchukua niende nae nyumbani.
Yule paka aliponiona akastuka akakimbia kuelekea barabarani anataka kuvuka barabara, jambo ambalo lisingewezekana,magari yalikuwa mengi sana. The rest is history. RIP kitten.
Nasikitika sana. Kwamba nilikosa imagination ya kufikiria kwamba paka angeyavamia yale magari.
Ingekuwa binadamu yule sasa ningekuwa Oyster Bay Police.