Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Nasikia mtume alikuwa anapenda sana paka, na alikuwa anachukia sana mbwa, ya kweli hayo?Biblia inasemaje ukiua paka?
Pole sana mkuu.Yule paka usiku huu alikuwa pembeni ya barabara pale karibu na Ubalozi wa Oman, Mikocheni.
Nimekwenda nikamwona, a kitten, a scraggy kitten, nikafikiria kumchukua niende nae nyumbani.
Yule paka aliponiona akastuka akakimbia kuelekea barabarani anataka kuvuka barabara, jambo ambalo lisingewezekana,magari yalikuwa mengi sana. The rest is history. RIP kitten.
Nasikitika sana. Kwamba nilikosa imagination ya kufikiria kwamba paka angeyavamia yale magari.
Ingekuwa binadamu yule sasa ningekuwa Oyster Bay Police.
Nilikuwa natembea.Aliyekupa au kukuruhusu kuendesha gari amefanya makosa.
Andrew you need to stay home and rest uku ukifanya mazoezi ya viungo
Mungu labda atanipa adhabu tatu Atasema nichague mojaJiandae kufa na wewe
coz UMEUA MTU
Vipi wale jamaa wa Butiama waliopanga kukumaliza uhasama umeisha?Nilikuwa natembea.
Siku hizi Sina gari.
Zamani pale walikuwa wanasema ukiona Dar land Rover inaendeshwa at 100 miles an hour,basi huyo labda ni Andrew.
Kumtaja member kwa jina halisi bila ridhaa yake ni kosa kwa JF.Have you ever come across it?Aliyekupa au kukuruhusu kuendesha gari amefanya makosa.
Andrew you need to stay home and rest uku ukifanya mazoezi ya viungo
Kumtaja member kwa jina halisi bila ridhaa yake ni kosa kwa JF.Have you ever come across it?
Aliyekupa au kukuruhusu kuendesha gari amefanya makosa.
Andrew you need to stay home and rest uku ukifanya mazoezi ya viungo