Leo nimeona mwenyewe usumbufu wa polisi wa usalama barabarani dhidi ya magari ya mizigo

Ina maan kila mwenye gari alishawah kutoa rushwa kwa Traffic?
Kosa utakalolifany hata kama gari ni 0 km ndo litakalokuhukumu
Traffic police wanabambikizia makosa, wana chain ndefu mpaka kwa wakubwa wao, wamelalamikiwa sana lakini mamlaka husika zimeshindwa kuwadhibiti
 
yaku brashia kiatu mkuu vumilia mitano tena au nasema uongo ndugu zanguuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…