leo nimeona video ya samaki wa plastic!!

leo nimeona video ya samaki wa plastic!!

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
niende kwenye hii topic moja kwa moja maana ni kama breaking news!
nimeona video mtu amenunua samaki supermarket ya huko ulaya!
cha ajabu samaki ni wa plastic na ana mfupa yaani katengenezwa kitaalam kabisa.
kweli imebaki tunywe maji ya plastic tu!
kila kitu plastic hadi mbunye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
images
 
Imenishangaza sana ile video nikawaza wale tunaouziwa mtaani nasikia wanatoka China mara south nimeogopa
 
Mm nimeiyona hiyo video, sijajua lengo nini la bidhaaa hizi za plastic, samaki wamekuwa bidhaaa adimu kiasi kwamba inawapa watu nyege ya kutengeneza vitu artificial, mwenye kujua dhumuni la hawa jmaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
niende kwenye hii topic moja kwa moja maana ni kama breaking news!
nimeona video mtu amenunua samaki supermarket ya huko ulaya!
cha ajabu samaki ni wa plastic na ana mfupa yaani katengenezwa kitaalam kabisa.
kweli imebaki tunywe maji ya plastic tu!
kila kitu plastic hadi mbunye

Sent using Jamii Forums mobile app
Du, umedanganyika na 'video clip' ya hivyo vipande vya samaki ambavyo vimekuwa kwenye barafu kwa muda mrefu. Wanaojua samaki aliyetolewa kutoka kwenye barafu akayeyuka kidogo atanielewa
 
Back
Top Bottom