kweli naona hawa samaki wametengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu kabisa.. subiri nitafute mfupa hapo
[emoji23] utaanza wwNa itafikia hatua watu watakuwa wana 'cum' maplastic.We are so fake,mpaka jina fake linatushangaa.
Video bas ya huyo samakiniende kwenye hii topic moja kwa moja maana ni kama breaking news!
nimeona video mtu amenunua samaki supermarket ya huko ulaya!
cha ajabu samaki ni wa plastic na ana mfupa yaani katengenezwa kitaalam kabisa.
kweli imebaki tunywe maji ya plastic tu!
kila kitu plastic hadi mbunye
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]
kumbe umeona na wewe.Imenishangaza sana ile video nikawaza wale tunaouziwa mtaani nasikia wanatoka China mara south nimeogopa
Mara ngapi.. mbona zipo mkuumimi nasubiri papuchi za plastic tu!
Mkuu ukianza tu nistue tuje tufanye experiment[emoji23][emoji23]
Dhumuni ni kuua watu kwa cancer wauze dawaMm nimeiyona hiyo video, sijajua lengo nini la bidhaaa hizi za plastic, samaki wamekuwa bidhaaa adimu kiasi kwamba inawapa watu nyege ya kutengeneza vitu artificial, mwenye kujua dhumuni la hawa jmaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Du, umedanganyika na 'video clip' ya hivyo vipande vya samaki ambavyo vimekuwa kwenye barafu kwa muda mrefu. Wanaojua samaki aliyetolewa kutoka kwenye barafu akayeyuka kidogo atanielewaniende kwenye hii topic moja kwa moja maana ni kama breaking news!
nimeona video mtu amenunua samaki supermarket ya huko ulaya!
cha ajabu samaki ni wa plastic na ana mfupa yaani katengenezwa kitaalam kabisa.
kweli imebaki tunywe maji ya plastic tu!
kila kitu plastic hadi mbunye
Sent using Jamii Forums mobile app