Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 306
- 706
Aiseeeh, kichaa kaja tu dukani sikumbuki vurugu yoyote aliofanya despite ile kutokuwa comfortable na ujio wake
Hii inaweza kuwa inamaanisha nini.
Maana napitia kipindi kigumu sana katika biashara yangu
Bado na majanga ya haya:
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
Hii inaweza kuwa inamaanisha nini.
Maana napitia kipindi kigumu sana katika biashara yangu
Bado na majanga ya haya:
Nilifanya maombi maalum mara kadhaa, mtumishi hadi kuja kwangu, sadaka za kujimaliza ila bado nateseka mnyororo huu, eeh Mungu nifanye nini sasa?
Jana nimeleta uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-muda-mrefu-sasa-naota-sana-kurudishwa-kurudi-shule-kama-leo-nimeota-nachapwa-parade.2307099/ Samahani kwa kuanzisha nyuzi nyingine, atleast nyie mtakuwa faraja yangu lakini pia fundisho kwa wengine kama nitapata msaada humu. Kusema...
Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade
Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa. Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu. Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile...