Pole sanaa MkuuAiseeeh,
Hii inaweza kuwa inamaanisha nini.
Maana napitia kipindi kigumu sana katika biashara yangu
Ahsante bossMpokee Yesu akuondolee hii hofu.
Nakili maneno haya...unaelekea kufilisika kwa hicho kidogo ulicho nacho na giza nene liko mbele yako
Ahsante bossKumuota kichaa yaani kile kitendo cha kumuota tu haijalishi yuko wapi au anafanya nn hiyo ni dalili ya kuandamwa na maadui zako.
Kuota anafukuzwa na kichaa ajue anatembelewa na hasara katika kazi zake.
Kuota anafukuzwa na kichaa na akampata na kuaza kumpiga ajue ajue ataaza kufilisika na kuwa chini kimaisha.
Kuota anapewa msaada na kichaa basi mtu huyo atanyanyuka kimaisha.
Ndoto za kichaa ni ishara ambayo muotaji anatakiwa achukue tahadhari kulingana na maana halisi atakayoipata kwa mujibu wa uhalisia wa maisha yake