BANGIKama ulikwepo, Leo ijumaa, tunaweka shida chini tunatupa mikono juu, baada ya migo migo za kumalizia dissertation, basi leo nataka nitoke na mabesthe zangu, mpaka usiku mbaya, tukalewe, hii bash haitahusisha anyboy, yaani ni strictly girls, Hebu pendekeza kilevi Rafik kwa girls. Konyagi usitaje..
VALEAURKama ulikwepo, Leo ijumaa, tunaweka shida chini tunatupa mikono juu, baada ya migo migo za kumalizia dissertation, basi leo nataka nitoke na mabesthe zangu, mpaka usiku mbaya, tukalewe, hii bash haitahusisha anyboy, yaani ni strictly girls, Hebu pendekeza kilevi Rafik kwa girls. Konyagi usitaje..
Wapi? Leo ni ladies tu, kesho tutaenda kuchikoxaNiko na huyu mnyama hapa kama vipi nije naeView attachment 330679
Kumbe upo Nairobi, ungetoa code jana wadau tungetimba leo kuja kunyorosha, si unajua what happens after ladies party?Wapi? Leo ni ladies tu, kesho tutaenda kuchikoxa
serious, nitafutie demu kiwango nikavinjali naye ...Duuuh, kesho karibu maana maboy watakwepo pia.