Leo nimepata email kutoka NACTE: Ina tafasiri gani kwangu as equivalent applicant?

ejoki

Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
43
Reaction score
1
Pia kwenye account yangu (CAS) vyeti viondolewa (attachments) wameandika GPA yangu
Dear -----------------
You are informed that, basing on General Content of Study, Function of Programme (i.e. further studies), Entry Qualification and Duration of Study of submitted copies of certificate(s) for admission process into Higher Education Education through Central Admission System is successfully!
While waiting for selection results!. Take your time to review you profile before 06/09/2014.
If you have any enquiry, do not hesitate to contact NACTE by calling 0767129132, 0719222846, 0787050389 or using email awards@nacte.go.tz.

Our technical team will be available round the clock and they will be eager to help you.
Thank you and have a nice day,
NACTE CAS.
 
mbona ni kama ya muda mrefu hiyo email? 06/09/2014..
 
selection NACTE ni kuanzia mwanzoni mwa wiki ijayo

From NACTE examination officers
 
hapana imeingia, leo pia kwenye account vyeti viondolewa (attachment) wameandika GPA yangu

Ingia kwenye websites za vyuo ulivyoomba utakuwa umechaguliwa ktk chuo kimoja wapo
 
hata mimi nimetumiwa email hiyo hiyo jana jioni na kuna tetesi kua watatoa kuanzia j3 ya next week
 
Mm nimeomba kupitia nacte lkn nmepata chuo nmeangalia kwenye vyuo nlivyoomba nkakuta nmechaguliwa first choice
 
Ngoja niwajuze hiyo kingreza cha nate hapo. Hiyo ina maana vyeti ulivyoload vimekubalika baada ya epembuzi yakinifu kufanywa na NACTE so usubiri kama hujaoona jina lko kwenye vyuo ulivyoomba basi litakuja na majibu kadhaa. umepata. au umekosa na nini cha kufanya kwenye profile yako.
 

asante kwa maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…