Leo nimepita Buza, aisee tofauti na nilivyokuwa napafikiria na kupasikia

Ukimiliki Tecno ni sawa na kumiliki demu wa Buza.
 
Kuna Bus aina ya Eicher nililiona Posta Limeandikwa Buza Posta nilicheka sana yaani...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Buza ni sehemu smart sana sio miongoni mwa maeneo ya hovyo katika jiji hili kama inavyosemwa mitandaoni sijajua lengo la walioanzisha msemo wa negative kuhusu buza walikuwa na lengo gani

Huwezi ukaifananisha buza na eneo kama tandika, tandika Ni eneo la hovyo sana kupata kutokea ni eneo ambalo linakera sana
 
Naona hata Bonyokwa Kimara nayo imooo kuitania, sijui kwa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…