Leo nimepokea huu Ujumbe wa simu toka bodi ya mkopo ya wanafunzi wa chuo kikuu

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Nimetumiwa SMS na bobi ya mikopo kuwa nadaiwa. Na wamenipa siku 30 tuu nijisalimishe.
Hashii!!!! Nikawambia mbona sijasoma chuo kikuu wala kuwakopa???
Wakanambia mbona kila siku najiunga vifurushi vya chuo??
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Aiseeee hatari sana
 
Sorry tumepoteza data tunatumia za Tigo na bando lao la chuo kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…