mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
Wakuu habarini!
Nimeona ni vyema kuwashirikisha mkasa huu uliogeuka furaha baadae.
Leo bana, mida ya saa mbili usiku huu nkitokea dukani, kwa bahati mbaya Sana, nilikuta fedha pungufu ( yaani TSH 200/= haimo kwenye mzigo nliokuwanao mfukoni) nikahisi nimeangusha TSH 200/= wakati nikitoa funguo mfukoni!
Looh! Nimeitafuta kwa juhudi zote huku nafsini mwangu nikijisemea. "Yaani na tozo zote hizi, mimi ni tajiri gani ninaetupa TSH 200/= yote hii? Huku maji yananisubiri kulipia, huku pango, huku Luku yenye tozo, yaani naangusha 200/= yote hii!"
Nimepata nguvu ya kutafuta, nikasakanya kila kona muda wa nusu saa siioni, nikapumzika kidogo, zen nkarudia awamu ya pili ya utafutaji!
Unajua nini kimetokea mwishoni? Nimeipata kwenye funguo nlizokua nimeshikilia mkononi ikiwa imejipachika ndani ya funguo!
Kwa kweli nmefurahi Sana San halooh!
#CHEZEA TOZO WEWE!