Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
[emoji121]
Wash'kaji eeeeeeeh!!!
Huku kitaa cha mivumoni_centre
Ukiachana na hii njia ya 1 kwa 1 ya kuelekea madale,
Kutokea tegeta_nyuki,
Upande wa kushoto
Kama waelekea mtaa mmoja wa kuitwa kwa @binti_lukundu,
Kuna
Mama mmoja ambaye ni makamu katibu mwenezi wa chama flani maarufu sana hapa nchini,
Ambaye nyumba yake ipo takribani kilomita 2½ kutoka hapa nilipopanga chumba changu kimoja cha banda la uani kwa mkataba wa miezi miwili_miwili
Kilichopo katikati ya stoo ya mkaa na choo cha umma.
Sasa kutokana na tabia yangu ya kuchomekea modo zangu za mtumba na mashati yangu ya kaunda_suti,
Nikiwa na kabrifkesi kangu kadogo,
Huyu mama akawa ananiona mara nyingi sana napita maeneo ya nyumbani kwake naelekea stendi ya daladala.
Sasa mwezi ul'opita yule mama akanipa lift kwenye gari yake aina ya toyota_granvia_g,
Akaniuliza
"Waelekea wapi mwanangu?
Nataka nikakushushe kwenye kituo chako kabisa,
Maana'ke leo nimewahi sana kuelekea ofisini."
Sasa nikafikiria kuhusu kumwambia akanishushe pale kwenye kituo changu
Ninapofanyia biashara yangu ya kuuza supu ya vichwa na miguu ya kuku aina ya broiler,
Nikaona jau sana
Maana'ke kwenye siti za nyuma za lile gari alikuwa amekaa binti mmoja matata sana,
Mweupe,
Mwenye sura kama ya @hamisa_mobeto,
Na figa kama ya
@agnes_masogange.
Nikamwambia
"Mama miye nashuka hapo mbele tu,
Kwenye ile shule mpya ya mchanganyiko ile
Nd'o nafanyia kazi pale."
Mama akaniuliza,
"Oooooooh!!!!
Kumbe we' ni ticha?
Wa masomo yapi?"
Nikamjibu,
"Kiingereza, kiswahili & historia."
Akasema
"Huyo binti yangu
Anaitwa rosemary anasoma form 4 pale tu....
(akaitaja shule 1 maarufu sana),
Na anayapenda sana hayo masomo,
Kwani anataka kuwa mwanasheria.
Sasa naomba unipe namba yako
Ili baadaye
Tuongee ni namna gani waweza kumsaidia suala la tuition
Jipo kwa miezi kadhaa."
Nikampa namba na jina langu,
Akanishusha garini,
Akasepa,
Huku yule binti yake akiniangalia kwa jicho la bashasha,
Mhemko na tabasam' lenye mchecheto.
__________
Zikapita wiki kama mbili hivi,
Kila nivyofanya biashara yangu inaingia gundu,
Mwishowe nikaichukua ile elfu 22 yangu ya akiba iliyobakia,
Niliyokuwa naitegemea
Nikapanda daladala kuelekea temeke_sudan
Stendi ya mabasi ya kusini
Kwenda kucheck usafiri wa mabasi ya mtwara.
**************
Ile nataka kutoa nauli nichukue tiketi,
Kumbe waleti yangu ishakwapuliwa pale stend
Wakati stendi nabageini nauli.
Na sina akiba ingine hata sh. 100 jiji hili.
_____
Mara
Namba mpya ikanipigia,
"Hellow mwalimu @seneta_wa_mtwiz,
Ni mimi mama_rosemary,
Yule aunt yako niliyekupa lift 2 weeks ago.
Mdogo wako anataka aanze rasmi tuition kesho,
Hivyo ongea naye masomo utayomfundisha.
Yaani amesisitiza sana nikutafute,
Kadai hataki ticha mwingine.
Mkishaafikiana njoo uchukue advance ya bei utayitaka sasa hivi, au nikutumie kwa airtel money ili .... ....."
Ghafla simu yangu aina ya philips yenye dole ikazima chaji.
Wakati nahangaika huku na huko ili niombe sehemu niichaji ile simu kidogo,
Ili niuwahi ule mchongo wa kupiga pindi,
Ghafla,
Vibaka wakaikwapua simu yangu,
Na kupotea nayo.
Wajua nini kilifuatia???
Hapo nikasadiki,
"The world iz nat fair."
[emoji144][emoji144][emoji144]