Leo nimeshangazwa na makato ya Airtel

Leo nimeshangazwa na makato ya Airtel

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Leo nimetoa Tshs 575,000 kupitia mtandao wa Airtel na nimeshanga kukatwa Tshs.8,000. Ndugu zangu Serikali iko wapi tunaibiwa mchana kweupe. Nimesikitika sana na makato hayo. Serikali chukueni hatua stahiki haya Makampuni yanatuibia sana.
 
Kasome kwenye hiyo 8,000 kodi kiasi gani umekatwa, hata katika pesa yao pia waliochukua bado na wao airtel wanakatwa kodi.
Sirikali itakusaidia vipi sasa wakati pesa wao ndiyo wanachukua
 
Back
Top Bottom