Ukiangalia vizuri utaona kuna Tozo ya serikali humoSerikali chukueni hatua stahiki haya Makampuni yanatuibia sana.
Hapo ni kreti ngapi za bia mkuu??NImetoa laki 3 nikanywe beer wamekata elfu 7, kawaida sana hiyo hujatoa hela siku nyingi.
Kesi ya nyani anampelekea ngedereSerikali iliyoweka hayo makato unataka ikusaidie nn