Leo nimetafakari sana kifo cha Rais Benjamin Mkapa

Status
Not open for further replies.

Ni tafakuri nzuri na yenye akili..lakini jaribu pia kutafakari namna kifo Cha Nyerere kilivyotokea wakati wa utawala wa Ben!! wewe unadhani kwa nini mkwere amepiga kimya as if kila jambo analofanya Pombe liko sawa!!
 
Hata kama angekuwepo Mkapa, CCM ni ileile! Ni Mkapa huyuhuyu alifoka mchana kweupe pale Jangwani akiwatukana wapinzani, wapumbavu, malofaa...

Hata kama angekuwepo Nyerere, mambo ndani ya CCM ni yale yale. Mwaka 1995 wapinzani walishinda Zanzibar, Nyerere alikuwepo, kura zikaporwa, maisha yakaendelea.
 
HUYU ALIWAKERA WAKUBWA KWA KUANZA KUONGELEA

KATIBA MPYA
SERIKALI SIO YA MTU
TUME HURU YA UCHAGUZI
NA KUTOONGEZA TERM LIMITS

WAKAONA ANAENDA KUWAWEKEA USIKU MBELE YA SAFARI
Kwa hiyo wakubwa walio wadogo kwake kiumri wakammaliza kabisa na kumpoteza kwenye uso wa dunia.
 
Nishasema nidhamu ya woga matunda yake siku zote ni machungu mno shubiri imepakaziwa
 
Umesahau wanafunzi walitolewa kwa nguvu shule na vyuo vya karibu kama TIA na Duce kwenda kuaga mwili wa MKAPA.nani aeende
 
Mkuu ishu sio checks and balance au kujazana kwa CCM Bungeni. Ishu ni hao wa kufanya hiyo checks and balance wanastahili au unataka iwe atavistic tu?
Issue ni checks and balances, nothing more, nothing less...let's build an assumption, let's say hao wabunge asilimia 90+ wamechagulia na wananchi kihalali, basi kama ni kweli, ujue unaishi taifa la wapumbafu hawajawahi tokea karne hii...watu wanaojielewa na wanaelewa bunge ndio linaenda kusimamia serikali na bado wanajaza wabunge wa chama kimoja tu bungeni, ujue hao watu wanaoutindio..smart and intelligent people don't make such political decisions, again it was just an assumption, personally najua hao wabunge wamechaguliwa na dola, hata kama watz ni wajinga, at this political epoch (2020)

hawawezi jaza wabunge wa chama kimoja hivyo. So my point is very clear, hauwezi kufanya mtihani ukajisimamia mwenyewe, ukafanya chumba chako mwenyewe. It's important to have 3rd part. Kama una akili lakini nikuulize swali, kama hauna usihangaike kujibu: Ccm wanaleta motion ya kubadili katiba, na idadi yao bungeni inaruhusu kufanya hao mabadiliko, na hayo mabadiliko hayana maslahi kwa taifa, kwa mfano kuongeza term ya 3 ya rais, na inatokea hiyo agenda imeasisiwa ikulu, kwa bunge la sasa hiyo agenda itapita au laa? Bado haujaelewa umuhimu wa checks and balances? Kama haujaelewa then rudi form 2 kasome Civics.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…