Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Sisi tuna uchungu sana wa kuonewa kufungwa mabao 5 na ndio maana tumechanganyikiwa kila mtu anasema lake, machawa wanatetea uongozi na sisi tunasema hapana, uongozi umetuangusha.
Sasa hawa jamaa wamepigwa mabao 3 na mwarabu na sasa hv wametoa makafara ya ng'ombe kule Zenji na hapa mjini ili Al Ahly afe hiyo trh 2.Mimi sina undugu wala uzalendo na Yanga, wametufunga mabao 5 kwa hila na haukuwa mpira ule.Nawachukia mnooooooo.
Kutokana hayo na tabia zao za kusaidia yatima kila wanapoona gemu ni ngumu leo nimewasilisha barua kwa kiarabu kwenye ubalozi wa Misri na nakala nimetuma kwenye email ya timu hiyo nikiwaomba wachukue tahadhari sana hiyo mechi, wahakikishe wanasoma Quran kwa wingi kuanzia ijumaa hadi siku ya mechi, wahakikishe wanawalinda Percy Tau na Ali Dieng na wenzake ili waiangamize kabisa timu hii ili waanze kuvurugana kama sisi.