Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
The butcher
-pale Ajax amsterdam walikuwa wanapenda kumuita hivo ikiwa na maana CHINJA CHINJA
-Inaweza kuwa mapema kusema hivi but .. believe me Lisandro martinez ni aina ya beki tuliyemkosa kwa kipindi kirefu tangu Vidic aondoke kwenye kikosi
[emoji294]️una mashaka na kiwango cha Martinez ?
- Ana uwezo mkubwa wa kupiga pasi ndefu hivyo anasaidia kwenye counter attack , ana uwezo wa kupiga pasi fupi fupi hivyo husaidia kwenye build up na transition ya haraka kwenda mbele
+Kama hujaona alichokiongeza Martinez kwenye kikosi nakupa pole [emoji40]
- Kuna kazi chafu tena za kihuni anapiga bwana mdogo, anafanya sliding tackles inapobidi , anablock mipira..lakini cha ajabu zaidi pamoja na ufupi wake anafanya vyema kwenye Aerial duels battles
+ More importantly ana mapafu ya mbwa, utamuona muda mwingi anakimbia kuziba gepu ,utamuona muda mwingi amekaa kwenye njia zinazoleta hatari kwenye lango la Man United
-Martinez ananusa hatari (threat awarenes ), Martinez anavuruga mipango kwa kufanya tactical fauls na interceptions [emoji16]kuna kipindi hata yeye mwenyewe alishawahi sema
“My function is to destroy, to be heavy, to cut out counter attacks” !!!
Manchester united ya sasa haihitaji wachezaji wenye vipaji tu ,bali inahitaji wachezaji wenye utayari wa kufia uwanjani kwa ajili ya kupambania timu.
GGMU[emoji1666]