non reducing suger
Senior Member
- May 25, 2017
- 107
- 118
Nitajiita jina halisiHili bandiko ni kwa sababu bado wewe ni mgeni.
Ukishakua mwenyeji najua hutajiita non reducing sugar utajiita simple sugar
AsanteKaribu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe ni sukari lakini sio sukari ya warembo
SawaSubiri wam-catalyse na sucrose.
Jina langu halisiRashid mitumba sio jina halisi
Hii yuID yako ya nyingine ni ipi?
fb.....................Nashuru tangia nijiunge humu leo ndio post yangu ya kwanza na bila kusahau nimepata rafiki mmoja tu na niwa kike jina langu kamili RASHID MITUMBA