Huwez jua lakini. Watu kama yule wanakamatagwa mtu unabaki kushangaa imekuaje.Ukisema uweke mategemeo pale imekula kwako
Tafuta wako tu sasa macolabo sitakii sasa ukimuona msomali wangu si utaniomba namba wewe mccciuuuHapo basi naomba colabo mpenzi
Cheka mamaHahaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunaomba umkamate wewe kazi tumekuachiaHuwez jua lakini. Watu kama yule wanakamatagwa mtu unabaki kushangaa imekuaje.
Una wivu wewe!Ukisema uweke mategemeo pale imekula kwako
Sawaaa halaf naomba ufunge pm haraka naona washaanza omba colabo
Mwingi sana,,sitaki aje anililie pm mieUna wivu wewe!
Umeshachelewa!Sawaaa halaf naomba ufunge pm haraka naona washaanza omba colabo
Acha uchoyo mfyuuuuSawaaa halaf naomba ufunge pm haraka naona washaanza omba colabo
Sawa sitaki mchezo kina mzigua hawa ni hatarii wanakuja na madawa kabisa we si unaona jina tu mziguahahah your wish is my command. nishaifunga faster.
Msomali sidhani. Ila siwezi jua lolote laweza tokea ujue. Wangu sasa ntampatia wapiTafuta wako tu sasa macolabo sitakii sasa ukimuona msomali wangu si utaniomba namba wewe mccciuuu
Muda wa kumkamata nautoa wapi. Labda yule nanihii mwingine tumuachieTunaomba umkamate wewe kazi tumekuachia
Kwa Niaba ya wanawake wote JF.Tunaomba umkamate wewe kazi tumekuachia
Nawe nigawie basi yule mwingine unaempenda kama kweli tunapendanaAcha uchoyo mfyuuuu
Umeona eeeh. Anankatisha tamaa kwenye penzi langu jipya [emoji23][emoji23]Una wivu wewe!
Nyie watu mi nabadili jina la id na sitako urafiki tena ,,sio watu wazurii kabisaa nyieUmeshachelewa!
Nimeshapata namba yake.
Ukiona hamna mrejesho ujue tayariii cheki status tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo na pm yangu hutanijibu tena?hahah your wish is my command. nishaifunga faster.
Heheheeheh jamani jamaniMsomali sidhani. Ila siwezi jua lolote laweza tokea ujue. Wangu sasa ntampatia wapi
Miss Natafuta analia tu kaachwa kwenye mataaMuda wa kumkamata nautoa wapi. Labda yule nanihii mwingine tumuachie
Hahahaaaa.. huyu ngoja basi nimwacheSawa sitaki mchezo kina mzigua hawa ni hatarii wanakuja na madawa kabisa we si unaona jina tu mzigua