Leo nina furaha sana usiku huu

Hata ukija na Id ya kiume mimi nakujua wewe mpaka kivuli chako.
Na nasema tunakomaa humo humo wanaume wenyewe wachache.
Khaaa na yule msomali unamtaka? Daudi mnamtaka,docta mnamtaka hamuogopi ukimwi nyie,,,ina maana mnaona mi nafaidi ama
 
Na mm nimefurahi sana kujua kama unanipenda namna hii nanimefurahi zaidi ila ungenambia kabla yakupost picha yng
 
Aliekubana siku hizii,,tumekaribia kukublock kabisaa mpuuzi wewe,,ina maa boo ni tamu kuzidi sisi ama
Sasa nani kakuharibia siku mim au docta au roho inakuuma
Mama shida zangu ndio zinanibana tu binadamu hawezi labda wanangu tu na hii mimba changa.

Sasa hii picha ndio unataka nijifungue kabla ya wakati ili niingie kwenye mtanange au!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…