Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Sawa,nakupenda Daudi
Sio kwa doctaSasa unaweza kuta huo U-HB na mkifua wake anavyo vimejibanza sehemu.
Itakuwa manusura wa Bomu la Hiroshima.Mi gaidi kweli nakutanaga na mabomu nakwepa nainam,nimo tu jamani nna roho mie nastahili tuzo kabisa ya uvumilivu,
Hii ni zaidi ya vita vya kwanza vya dunia
Siwezi mshindwa. Atakuaepo tu. Akirudi game siku moja moja si mbayaYes nimekuachia kabisa ila kama ukishindwa mrudishe nimlee hivyo hivyo huku kapangwa mstari
Makavel hakutakiTunabanana ulipo
Anajikuta mjanja ujue [emoji23][emoji23][emoji23]Ahahahahahah nakojoooooaaaaaaa
Napenda watu wazima lakini sio huyu..Makavel mi ni rafiki naomba nisaidie wote wananiandama kasoro espy tu,mchukue mzigua najua kwa yale mambo atatulia tuliiii jifunze kuchukua watu wazima wasumbufu
Nyie mna lugha yenu ya 'code' acheni hizoHahahahaaa.. unaagaje sehemu nzuri? Huweki tu moyo wako ila hutoki. Unazunguka wee ukimmiss unarud kiroho safi
Mi ntahamia kwa money stuna sasaSIBAGUI SICHAGUI!ATAKAYENIZIKA SIMJUIIII!
Raha ya umbeya twende sawaUmbea sunaaa dada
Bora na sie tusimulianeAlafu wanasimuliana!
Nakojoaaaa majii mieWacha weeh!!
Mie simtaki, wacha akubane bane roho yake isuuzike tuu. [emoji23]Makavel hakutaki
Ha ha.kuumizwa kuumizwa tuBora uumizwe na hb mara mia kuliko uumizwe na jitu bayaaaa
HajakuelewaKwani alielewaje?
Itakua alimuumiza jamani. Na picha yangu kaona dp basi itakua anasema huyu nae atalizwa soon kumbe mwenzie niko kimwili tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwiii yaannnampa polee
Shenzi zenu, ndio nini mnaongelea vitu sivielewi[emoji57] [emoji57] [emoji57]Alisema hajagegedwa bwanaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kumbe ilibaki story? Sasa kwanini beb alimuacha lakini wakati mwenzie alimpenda? Watu wa dar sisi hatupendi ujinga ujue kutoa papuchi sio shida ukimuelewa mtu sema kuona utaolewa ni ujinga ujinga
Unaishi wapi?I love you too Darling.
Usisahau kutoa shuka na godoro tuu..Nakojoaaaa majii mie