Tena huyo doc ana pepo la NGoNO kama hujui sasa.Sio kwa docta
Nicheke mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hajafanyajee?Alisema hajagegedwa bwanaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kumbe ilibaki story? Sasa kwanini beb alimuacha lakini wakati mwenzie alimpenda? Watu wa dar sisi hatupendi ujinga ujue kutoa papuchi sio shida ukimuelewa mtu sema kuona utaolewa ni ujinga ujinga
Mie kwakweli nimebakia fahari ya macho tu. Ngoja nilee kwanza.Makavel mi ni rafiki naomba nisaidie wote wananiandama kasoro espy tu,mchukue mzigua najua kwa yale mambo atatulia tuliiii jifunze kuchukua watu wazima wasumbufu
Hata sikumbuki dalili mbayaUmepata dawa yako.
Unataka munambia yule hajawahi kukukojolesha?
Sijui yupo wapiMi ntahamia kwa money stuna sasa
Utasutwa ohooBora na sie tusimuliane
We ni chiziiii,nasikia wenzenu wanasimuliana wakipita sehemu so tuambiane loHahahahaaa.. unaagaje sehemu nzuri? Huweki tu moyo wako ila hutoki. Unazunguka wee ukimmiss unarud kiroho safi
Unaishi wapi?
Tutoke leo
Umeona makavel kwani we hawakuoniWe nae ni kivuruge, muache mama sabrina ajimwae mwae.. [emoji23] [emoji23]
Nilijua Magu kumbe Mama SabrinaKwani alielewaje?
Nitakusimulia,Shenzi zenu, ndio nini mnaongelea vitu sivielewi[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Eti kweli mim nna roho ngumu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shikana mama shikanaa. Hakuna kukata tamaaMi gaidi kweli nakutanaga na mabomu nakwepa nainam,nimo tu jamani nna roho mie nastahili tuzo kabisa ya uvumilivu,
Hii ni zaidi ya vita vya kwanza vya dunia
Na nyie vizuri mnipeKweli we sio mchoyo unatugeia pasi.
Kwa ninavyokuona wewe na Mama Sabrina chuki haiwez wepo.Ili Tusichukiane,maana hivi ni vitu vya kupita tu!
Tatizo letu tuna roho nyepesi.We ni chiziiii,nasikia wenzenu wanasimuliana wakipita sehemu so tuambiane lo
Mim ni kama shabiki wa asernal kwa uvumilivuItakuwa manusura wa Bomu la Hiroshima.
Basi nipigieJamani naogopa kujibu hapa hadharani nitahatarisha mahusiano yangu.
Mwenzio akirudi anataka wapyaSiwezi mshindwa. Atakuaepo tu. Akirudi game siku moja moja si mbaya