Tuwekee yenyewe sasa..😀
Mie nasubiri picha nisafishe machoUnaunga mkono sio[emoji23]
Mbona sijaona komwe..?😂Rudi juu kwenye uzi mkuu wangu
NyingineHujaona?
Rudi juu kwenye uziii
mwanamke gani anafunga Pm na ProfileSiku na tarehe kama ya jana 14/4 ni siku ambayo Mungu wa mbinguni aliibariki kwa kunipa zawadi ya kipekee sana.
Siku hii alizaliwa dada na rafiki yangu kipenzi (Carleen)
Rafiki wa kweli asiye na unafiki.
Dada machachari katika kujenga hoja.
Aliyejaaliwa hekima, busara na utulivu kichwani.
Mtu muhimu sana katika moyo wangu.
Najivunia kuwa kaka yake kwa dhati.
Naona fahari kuwa na dada na rafiki kama yeye.
Kuna wakati naringa kuwa nina kipenzi anipendaye tu bila sababu.
Huwa napenda anavyojua kudeka inapohotajika.
Kuna wakati upendo wake unanipa deni sana na najiona kama kaka na rafiki bado sijautendea haki urafiki na undugu wetu.
Mcheshi, mrembo asoyeringa na mwenye madaha yake ya kiusichana flani hii[emoji28][emoji28][emoji28].
Kulingana na upendo na kujali kwake kuna wakati ninammiss vibaya sana hasa hesabu zangu mjini zikiniendea vibaya...huwa natamani uwepo wake ni sahau taabu za dunia hii.
Ninamfurabia kwa vile ameushinda udhaifu wangu..ananijulia kuliko..
Kuna wakati ninMkoromea kama adui lakini hunyamaza na kutulia kwa muda..kumbe hujipa muda anipe neno zito kama jiwe azimalize hasira zangu.
Punde afungupo kinywa na kunena...mimi ndani yangu moyo huyeyuka na kusahau kuwa nilikuwa na hasira na hujikuta natabasabu na kum hug kwa furaha[emoji38][emoji38][emoji38]
Wanaume wenzangu wa jf nataka niwaambie kitu;
Kama umewahi kusikia mwanamke ambaye ni chombo....kama Biblia isemavyo kuwa "apataye mke apata chombo chema"
Carleen ni mfano wake...[emoji7][emoji7]
Lakini Carleen si mke wala mpenzi wangu...
Ni dada, rafiki na kipenzi cha moyo wangu.
Inachanganya lakini chukua kama ilivyo na usiumize kichw we chukua na uamini hivyo hata kama akili haitaki[emoji28][emoji28]
Nasema leo namposti Carleen yaani miss jf wa leo...
Wengine kaeni kimya hii sio siku yenu[emoji16][emoji16][emoji16]
Mshana Jr usimloge
Smart911 usiende pm
DeepPond usimfananishe huyu na mama J wako, huyu ni binti na mwanamke mwenye akili[emoji28][emoji28]
Yna2 huyu si dada yako?
@keslea huyu ndiye wifi yako ama?
cocastic usilete umbea wako hapa...huyu ni mtu makini humpati vibarazani[emoji38]
Najua fika upendo...mapenzi na urafiki wetu wenye kilo nyingi unawasumbua ndg na rafiki zetu.
Lakini unajua fika pia hilo halinipi na halikupi shida bali tunajivunia zaidi.
Sijawahi kujuta kukufahamu...hata tulipotofautiana katika mambo kadhaa...upendo wetu umeng'aa siku zote.
Nyakati za giza kwetu ni furaha.
Nyakati za hari upendo wetu umekuwa umande..umande kama ule aliounena mfalme Daudi.
Nina nukukuu..
1 Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.
Zaburi 133:1
2 Ni kama mafuta mazuri kichwani, Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.
Zaburi 133:2
3 Kama umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni. Maana ndiko Bwana alikoamuru baraka, Naam, uzima hata milele.
Zaburi 133:3
Mwisho wa kunukuu;
Ninapendezwa na Uchaji wako katika Mungu.
Napendezwa na misimamo yako thabiti...wewe ni Chombo haswa.
Atakaye bahatika amebarikiwa[emoji38][emoji38][emoji38]
Carleen Mungi akupe maisha marefu dadangu.
Carleen Mungu akupe mume bora
Carleen Mungu akupe kila lililo jema chini ya jua..
Note: Kwa Mume bora hili jimbo liko wazi 100%%
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimechafua hali ya hewa[emoji1][emoji1]
Nakupenda sana.
View attachment 2188198
KENZY
Daby
Haifunguki nisisingizie anakomwe sijaona chochote..😂Bro umerudi juu kwenye uzi uone vitu?
Glenn nimepokea kwa mikono miwili ombi lako.. Naahidi toka leo na sasa hivi nitakuwa mlinzi wa Carleen kiroho na kimwili na hii ndio zawadi yangu kwake kama ukumbusho wa siku yake hii kuu ya kuzaliwa..!Siku na tarehe kama ya jana 14/4 ni siku ambayo Mungu wa mbinguni aliibariki kwa kunipa zawadi ya kipekee sana.