Daah sikufanikiwa kumuingiza club... Badala yake tukaenda sehemu mmoja hiyo... Tume enjoy more than tungeingia club... Patulivu hakuna fujo... Yani kila umuonea pale ni ustaarabu kwa kwenda mbele... Ingawa it was an expensive place but we had fan sana tu...
Cc: mahondaw
Yes mahondaw you are very polite and sweet... Prepare for another surprise...
Leo nimekuona ujue,sie ww ulikuwa umevaa suruali ya kijivu cheusi na shirt ya njano?bishaha ha ha jinga wew
siyo mimi jana nilijisikia kutembea mapaja wazi na miguu yangu ya kichaga ha haha siyo mimiLeo nimekuona ujue,sie ww ulikuwa umevaa suruali ya kijivu cheusi na shirt ya njano?bisha
Haha,nimekung"amuasiyo mimi jana nilijisikia kutembea mapaja wazi na miguu yangu ya kichaga ha haha siyo mimi
umening'amua vipi mkuu?Haha,nimekung"amua
Nashawishika kuamini ulikuwa ni wwumening'amua vipi mkuu?
ha hahaha sawa tuNashawishika kuamini ulikuwa ni ww
kwanza nitapiga pale ninapoficha pesa na pili nitapiga pale ninapojifichaga kama nikiwa nadaiwa