Leo nitasikiliza/kuangalia TBC kuanzia saa 3 usiku

MJINI CHAI

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
2,202
Reaction score
1,228
Wakuu habari za mihandaiko ya Mchana kutwa.................Kwa Uzalendo uliotopea na Kutukuka kuanzia leo 24.02.2018 nitakuwa na Ratiba ya kuangalia/kusikiliza TBC...........Hebu tuungane tukipende kilicho chetu................je wewe utaangalia nini...........muda huo ???

MJINI KUNOGA CHAI...............
 
Mkuu kama huna kazi kabisa ya kujishughulisha muda huo si bora ukaangalia vipindi vya kutangazwa Washindi wa BIKO na Tatu Mzuka utakuwa hata umepata kitu cha kufikirisha Ubungo?
 
Siwezi angali TBC hata iweje!
Mjini kunoga Chai Baba...............wewe uko wapi............!!!!
Uzalendo ndani ya umaskini wa kuishi kwa kunywa chai mujini sio!
Mkuu Chai ya Mjini Inanoga.................Pia kumbuka Uzalendo siyo lazima Uione CHAI Tamu hasa ya Mjini.....................
Mkuu kama huna kazi kabisa ya kujishughulisha muda huo si bora ukaangalia vipindi vya kutangazwa Washindi wa BIKO na Tatu Mzuka utakuwa hata umepata kitu cha kufikirisha Ubungo?
Mkuu Chai ya Mjini ni KIU CHA MACHO................


Hivi NYUMBU bado ipo...........????!!!
 
Kungekuwa na uwezekano wa kuiondoa hiyo channel kwenye king'amuzi ningeifuta kabisa.
 
Sijaelewa kabisa ulichokiandika humu ndani.
 
hata kama TBC wataanza kulipa watazamaji siwezi kuangalia
 
Nimempa ONYO la mwisho wife baada ya kukuta kaweka tbc! Next time namfukuza.
 
Hiyo channel japo Ni ya bure ila kwangu nimeifuta. Clouds ipo njiani,itv inakaribia kufutwa,star tv nayo vilevile.
Usipate tabu. Nunua DSTV decoder kifurushi cha 69,000/. Ule uhondo.achana na hizo
 
TBC mkuu hapana aiseee ..wao wenyewe wanajua kabisa kuwa hakuna anayewafuatilia ..ila kwakuwa wapo pale kwaajili ya kuwa nichombo cha taifa so hawana namna
 
Bavicha bhana, wanakuambia washaifuta tbc kwenye king'amuzi halafu hapo hapo wanalalamika mbona tbc hawaoneshi habari za chadema...kila siku ccm tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…