Leo nitasikiliza/kuangalia TBC kuanzia saa 3 usiku

Kuliko kuangalia TBC bora ukachezi ukitu ukuti wa nazi wa nazi na watoto yatima !
 
Hata nishikiwe bunduki siangalii TBC[emoji35] [emoji35]
umewahi kuusikia Mlio wa ROUND japo ikikata hewa tu Mkuu...................??? Manati ya Kizungu kitu kingine bhana asikuambie Mtu.............!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…