Leo nitatizama Runingani (TV) Mechi ya Simba na Azam huku nikiwa Nimenuna mno

Leo nitatizama Runingani (TV) Mechi ya Simba na Azam huku nikiwa Nimenuna mno

azam kwa mtazamo wangu hizi game kubwa ni mara chache sana wanacheza vizuri unaweza Kuta anapgwa hata 3 bila
 
Kwani Tarimba Abbas amempa Simba odd ya ngapi kule Sportpesa? Mi nitaweka stake in favor of Simba. Hii game mnyama anashinda.
 
Kila la kheri Azam.. Mwaka huu tutawaombea njaa Makolo Hadi mtuheshimu sisi kaka zenu(Yangaaaaaaaaaaaah)
 
Simba ovyoo kabisaa, Mimi ni mshabiki wa Simba lkn nimevutiwa na Yanga jinsi wanavyo cheza mpira kama team na kwa kujituma. Walionyesha kiwango Cha juu sn dhidi ya TP Mazembe. Sio ovyo ovyo kama kina Onyango nguvu nyingi bila kaarifa!!
 
Simba ovyoo kabisaa, Mimi ni mshabiki wa Simba lkn nimevutiwa na Yanga jinsi wanavyo cheza mpira kama team na kwa kujituma. Walionyesha kiwango Cha juu sn dhidi ya TP Mazembe.
Sio ovyo ovyo kama kina Onyango nguvu nyingi bila kaarifa!!
Quality ya Raja CA sio sawa na ya TP Mazembe kaka. Ligi ya Morocco [Botola Pro] sio sawa na Ligi ya Jamhuri ya Kidemikrasia ya Congo [Linafoot]
Nawasilisha.
 
Quality ya Raja CA sio sawa na ya TP Mazembe kaka. Ligi ya Morocco [Botola Pro] sio sawa na Ligi ya Jamhuri ya Kidemikrasia ya Congo [Linafoot]
Nawasilisha.
sawa lkn timu ya Simba ambayo Ina uzoefu mkubwa wa michuano hiyo ilionyesha uwezo mdogo sana!! Poor performance!! tena nyumbani!! very poor!!
Simba must change otherwise they r going to doom!
 
Wenye Akili Kubwa nina uhakika kwa Kichwa changu cha Habari hiki mtakuwa mmenielewa sana tu.

Tukutane Saa 3 Kamili leo baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC Kumalizika.

Kazi ipo....! Mangungu waombe Radhi.
Nitag hiyo saa 3. Nimekuelewa sana[emoji41]
 
Quality ya Raja CA sio sawa na ya TP Mazembe kaka. Ligi ya Morocco [Botola Pro] sio sawa na Ligi ya Jamhuri ya Kidemikrasia ya Congo [Linafoot]
Nawasilisha.
Wakati huohuo, mnasema vipers ni wabovu na mtawapiga nje ndani kwakua walifungwa tano Morocco?
 
Wenye Akili Kubwa nina uhakika kwa Kichwa changu cha Habari hiki mtakuwa mmenielewa sana tu.

Tukutane Saa 3 Kamili leo baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC Kumalizika.

Kazi ipo....! Mangungu waombe Radhi.
Na Prince Dube atakununisha zaidi..!! Kinyumenyume FC leo mnalo
 
Al hilal kampiga al ahly vp ligi zao zinalingana?
Sio mara zote favorite team hushinda, hutokea pia underdog team ikashinda kama ambavyo Simba SC ilishamshinda mara kadhaa Al-Ahly. Lakini ukweli unabakia palepale Morocco kama Taifa wametuzidi mbali Sana pia Raja CA na Simba SC ni mbingu na ardhi kwa Kila kitu.
 
Hii game simba atashinda, game ya Raha Simba angeweza kutoka hata draw kosa la kiufundi lilifanyika ni kuwekeza kwenye ndumba zaidi ya ufundi
 
Back
Top Bottom