MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Simba ovyoo kabisaa, Mimi ni mshabiki wa Simba lkn nimevutiwa na Yanga jinsi wanavyo cheza mpira kama team na kwa kujituma. Walionyesha kiwango Cha juu sn dhidi ya TP Mazembe. Sio ovyo ovyo kama kina Onyango nguvu nyingi bila kaarifa!!
Quality ya Raja CA sio sawa na ya TP Mazembe kaka. Ligi ya Morocco [Botola Pro] sio sawa na Ligi ya Jamhuri ya Kidemikrasia ya Congo [Linafoot]Simba ovyoo kabisaa, Mimi ni mshabiki wa Simba lkn nimevutiwa na Yanga jinsi wanavyo cheza mpira kama team na kwa kujituma. Walionyesha kiwango Cha juu sn dhidi ya TP Mazembe.
Sio ovyo ovyo kama kina Onyango nguvu nyingi bila kaarifa!!
Al hilal kampiga al ahly vp ligi zao zinalingana?Quality ya Raja CA sio sawa na ya TP Mazembe kaka. Ligi ya Morocco [Botola Pro] sio sawa na Ligi ya Jamhuri ya Kidemikrasia ya Congo [Linafoot]
Nawasilisha.
sawa lkn timu ya Simba ambayo Ina uzoefu mkubwa wa michuano hiyo ilionyesha uwezo mdogo sana!! Poor performance!! tena nyumbani!! very poor!!Quality ya Raja CA sio sawa na ya TP Mazembe kaka. Ligi ya Morocco [Botola Pro] sio sawa na Ligi ya Jamhuri ya Kidemikrasia ya Congo [Linafoot]
Nawasilisha.
Nitag hiyo saa 3. Nimekuelewa sana[emoji41]Wenye Akili Kubwa nina uhakika kwa Kichwa changu cha Habari hiki mtakuwa mmenielewa sana tu.
Tukutane Saa 3 Kamili leo baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC Kumalizika.
Kazi ipo....! Mangungu waombe Radhi.
Wakati huohuo, mnasema vipers ni wabovu na mtawapiga nje ndani kwakua walifungwa tano Morocco?Quality ya Raja CA sio sawa na ya TP Mazembe kaka. Ligi ya Morocco [Botola Pro] sio sawa na Ligi ya Jamhuri ya Kidemikrasia ya Congo [Linafoot]
Nawasilisha.
GENTAMYCINE nyie ni wa kupigwa tu, hata utazame mpira ukiwa umenuna, utapigwa tuWenye Akili Kubwa nina uhakika kwa Kichwa changu cha Habari hiki mtakuwa mmenielewa sana tu.
Tukutane Saa 3 Kamili leo baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC Kumalizika.
Kazi ipo....! Mangungu waombe Radhi.
Na Prince Dube atakununisha zaidi..!! Kinyumenyume FC leo mnaloWenye Akili Kubwa nina uhakika kwa Kichwa changu cha Habari hiki mtakuwa mmenielewa sana tu.
Tukutane Saa 3 Kamili leo baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC Kumalizika.
Kazi ipo....! Mangungu waombe Radhi.
Sio mara zote favorite team hushinda, hutokea pia underdog team ikashinda kama ambavyo Simba SC ilishamshinda mara kadhaa Al-Ahly. Lakini ukweli unabakia palepale Morocco kama Taifa wametuzidi mbali Sana pia Raja CA na Simba SC ni mbingu na ardhi kwa Kila kitu.Al hilal kampiga al ahly vp ligi zao zinalingana?
Kwahiyo unataka simba fc waingie mitini?Azam fc ni RAJA CASABLANCA MTUPUUUUU 😅😅