Leo niungane na Tulia( spika wa bunge feki tz )

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Wakuu Jf amani ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake .

Kweli maccm plus machawa ni wapuuzi, ila leo nipo Tulia kwa kile amekionesha, japo kipo na mjadala mkubwa katika mijadala mbalimbali katika mitandao ya kijamii .
OK itoshe kusema binafsi alijibu vizuri tu ,ukiweka siasa pembeni . Sasa wenda nami ni kilaza sana ,wana jf kama upo na maoni ruksa niweka sawa,

Note
Sitowahi kuwa chawa, jipendekeza kwa mtu yoyote ,aya ni maoni yangu upo na haki ya kunisulubu utakavyo ,so nimeongea mimi kama mimi .

Mwenye kuona yupo na mtazamo tofauti njoo na hoja tujadiliane live
 
Angekuwa anatumia uwezo wake wote bungeni
Tungekuwa mbali sana
 
Wakuu Jf amani ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake .

Kweli maccm plus machawa ni wapuuzi, ila leo nipo Tulia kwa kile amekionesha, japo kipo na mjadala mkubwa katika mijadala mbalimbali katika mitandao ya kijamii .
OK itoshe kusema binafsi alijibu vizuri tu ,ukiweka siasa pembeni . Sasa wenda nami ni kilaza sana ,wana jf kama upo na maoni ruksa niweka sawa,

Note
Sitowahi kuwa chawa, jipendekeza kwa mtu yoyote ,aya ni maoni yangu upo na haki ya kunisulubu utakavyo ,so nimeongea mimi kama mimi .

Mwenye kuona yupo na mtazamo tofauti njoo na hoja tujadiliane live
Shida hapa unaingia uzungu na uafrika,ila kiukweli hata home mimi ni noooo.
 
Back
Top Bottom