Leo njoeni wa Form 6 hapa tusolve hili.

Naona ametutia aibu tuliosoma BAM😂
Nahisi hata level ya BAM bado haijafika, hivi vitoto vinavyopqnda yellow buses vinasoma vitu vigumu wakiwa grade 3 tu.
 
Mimi nilishavuka huko but kwakuwa ni mtaalam wa hesabu wacha nisolve
 
Form six wa nchi gani??maana hapa Tanganyika hizo hesabu za shule ya msingi na kidato cha pili....uandishi ni shida naona umejaza ///))((//
 
Nilichogundua mshkaji unapenda hesabu Big up utafika mbali kama utalifanyia kazi na pia wengi waliosoma Hesabu kwa kujilipua kwa kitu chochote hawaoni tabu maana walikua busy kufanya maswali yasiowezekana. ..
 
Ngoja nisolve then nikutumie majibu hapa 😜
 
Sijaona swali hapa usituchoshe akili mambo ni mengi mjini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…