Leo nmekula sahan mbili za wali maharage samak na kisamvu


[emoji28][emoji28][emoji28] okay nitapatafuta mkuu. Thanks [emoji1431]
 
Duuh mkuu sahani mbili ndo mpk uje mbio kufungua sred JF wakati hizo kijana wangu wa darasa la tatu ndo anazipiga daily....
 
Soma tena uzi,hukunielewa....mi nafanya diet mkuu,na sijala vyakula hvyo mda mref,so leo niliamua kukata kiu,...au we ndo wale wazee wa kuponda tuu chochote kiandikwacho jf,..ts weird,b positive tu,wala si gharama
Sasa nikujibu nini kama umeshanihukumu tayari?basi kesho ukinywa chai na vitumbua vitamu njoo ufungue uzi tena,naona unanilazimisha kuuponda huu uzi wako! Hiyo ni kazi ndogo sana.
 
Mimi mwenyewe kisamvu siwezi kula bila maharage,yaani lazima viende pamoja na samaki au dagaa mchele
Hahahah,mkuu,hzo mambo wacha kabsaaa,..vmekua adim hvyo sana,na wish niwe nakula kila siku,ila siwez sasa,watu wetu wa karib hawawez pika hvyo,wala hawavielew kabsa,sjui kama unanielewa.

Mi nna bahat mbaya ya kua na wadada ambao wao hua hawapend kula,yaan ukae unasifia vyakula hvyo,atakwambia yaan we na mivyakula yako,siipendiii..wao ni machips,spaghet,kuku,ma juicy ya kina mark etc.na mi wine,ila vtu adim kama hvi hawez kukuelewa
 
Mkitoka Kwa Mark kuchukua juice kata kona mje kwangu kuchukua kisamvu,mchicha pori
 
Sijasema umvumilie bali mvumiliane
Hiv mwanamke wa kupenda junk foods n take aways,huyo si ni bomu la kulipuka mda wowote,badala abembeleze ndoa yeye anajisahau.mwenzie bado naiperuz cv yake tuu
 
Duuh mkuu sahani mbili ndo mpk uje mbio kufungua sred JF wakati hizo kijana wangu wa darasa la tatu ndo anazipiga daily....
Hiv unajua kadir unavokua na kua mtu mzima uwezo wa kula unapungua,..mim kipind niko o level u boys ni huko,nilikua namaliza sahan had 3,au kitimoto kilo2na ugal,.ila nw siwez,.so sishangai mtoto mdogo kumaliza huo msos,
 
Hiv mwanamke wa kupenda junk foods n take aways,huyo si ni bomu la kulipuka mda wowote,badala abembeleze ndoa yeye anajisahau.mwenzie bado naiperuz cv yake tuu
Abembeleze kwa kuwa ndoa ni yake pekee?
Nanyi kwa kujikuta tu hamjambo, hapo ajitoee akupikie ugali weeee afu umuache kwenye mataa si bora abebe take away teh tena asitoe hela utoe wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…