Leo October 27, ni mwaka mmoja toka Dr. Tulia Ackson achaguliwe kuwa rais wa IPU

Leo October 27, ni mwaka mmoja toka Dr. Tulia Ackson achaguliwe kuwa rais wa IPU

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Ni wakati ambao kuna mambo makubwa yanatokea. Sijui kwa nini viongozi wa Dunia wakaamua kuwaweka Watanzania in the centre of this.

Mkutano ujao utafanyika Uzbekistan. Maybe it is the only place which is going to be peaceful mambo yanavyokwenda hivi sasa.

Sijui tunaipima vipi kazi ya Spika Tulia kule IPU? Wengine wanasema she is a tough leader. Wengine wanasema she should be more gentle.

Soma Pia: Dkt. Tulia Ackson ameshinda Urais wa IPU kwa kishindo, apata kura 172 kati ya 303

Whatever it is wajumbe kule watapenda kuona Spika anawekewa rotation speed governor.
 
Zaidi ya mkwala mbuzi wa juzi ni nini? Ali'archive kikubwa
 
Mwambie asirete jeuri kule hawatajua kama yeye ni msafwa wasije wakamnyoa tu
 
Back
Top Bottom