Mimi nimeshwahi mkwida manager wangu kwenye pombe sema ni msauzi sio mbongo ila siku mbili kazini tulikutana kila mtu anamcheka mwenzake japo yeye alikuwa anakunywa soda tu ila mimi nakula captain morgan.Wananajamvi kwema jamani, walevi wenzangu rasmi leo nifuteni kwenye chama, juzi nimelewa nikatia aibu kwenye sherehe ya kazini, bado nikaenda kutia aibu kwa majirani,
Tutaonana wakati mwingine
Teh teh tehee teehee!! Kwani nayo inamaagano??, Au mikataba ya kinyonyaji kama ya akina kall peters!!?Anafikiri pombe ni kama azam juice unaacha kirahisi tu
Pombe huwa haiachwi hivi mkuu, pombe huachwa kwa maamuzi tu binafsi ya mtu ila visababu kama hivi huwa havidumu kichwani so ukisahau utaona Kila kitu kipo normal na utarudi kwenye gameπ πWananajamvi kwema jamani, walevi wenzangu rasmi leo nifuteni kwenye chama, juzi nimelewa nikatia aibu kwenye sherehe ya kazini, bado nikaenda kutia aibu kwa majirani,
Tutaonana wakati mwingine
No reform, No election
Naita jopo langu.Wananajamvi kwema jamani, walevi wenzangu rasmi leo nifuteni kwenye chama, juzi nimelewa nikatia aibu kwenye sherehe ya kazini, bado nikaenda kutia aibu kwa majirani,
Tutaonana wakati mwingine
Kwani alilazimishwa anywe kupita kiasi ?Naita jopo langu.
min -me
Harmful
Monetary doctor
MENEMENE TEKERI NA PERESI
Na wadau wengine woteeee KARIBUNI tuokoe jahazi..
Pombe inaswaga sana hasa ukilewa alafu una Hela mfukoni lazima Kuna namna ulimdanganya sana huyo Bi MazaπSitasahau nilipomtongoza mama mmoja jirani.. nilkuwa namuheshimu balaa, chakushangaza yule maza aliingia laini nikala kimasihara
Nimepiga mitikasi yangu nipo hapa napiga konyagi ndogo moja NIMECHANGANYA NA BITTER LEMON inanitosha Sanaa THEN NYUMBANI.Kwani alilazimishwa anywe kupita kiasi ?
Huyo atakuwa alifakamia kumbe ni siku moja tuu ingekuwa kila siku sjui
Kwa Maisha haya usipo kunywa huwezi pata madini hata akili haiwezi ku achieve it's maximum capacity.Kwani alilazimishwa anywe kupita kiasi ?
Huyo atakuwa alifakamia kumbe ni siku moja tuu ingekuwa kila siku sjui
SEMA nenoAisee
Mkuu mlevi huanza ulopokaji FUJO na kujikojolea na kujitapikia pia kuto sikia Wala kuambilika mixer matusi.Bainisha ni aibu gani ili tujifunze
Bhasi ngoja aache πππMkuu mlevi huanza ulopokaji FUJO na kujikojolea na kujitapikia pia kuto sikia Wala kuambilika mixer matusi.
Mimi nipo nakunywaga kila jion konyagi ndogo moja inanitosha Sanaa THEN NYUMBANIBhasi ngoja aache πππ
Alcohol free since January 1 2024.Wananajamvi kwema jamani, walevi wenzangu rasmi leo nifuteni kwenye chama, juzi nimelewa nikatia aibu kwenye sherehe ya kazini, bado nikaenda kutia aibu kwa majirani,
Tutaonana wakati mwingine