Leo Roma kesho wewe........

fundama

Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
23
Reaction score
11
Habari za asubuhi ndugu zangu na wapenzi wa mziki wa hipop,nisiku ya 3 Leo ndugu zangu Niko katika majonzi ya taarifa za kukamatwa na kutekwa na kupelekwa kusiko julikana kwa msanii ninaye mpenda na kumkubali sana,Roma mkatoliki mwanaharakati halisi.....siku wa April 5 2017 taarifa za kukamatwa kwa msanii wa hip hop Roma Mkatolikia zilianza kuenea katika mitandao ya kijamii kwa kuripotiwa kuwa Roma Mkatoliki na Moni wakiwa studio za Tongwe Records walikuja kukamatwa na watu wasiojulikana na kuwapeleka kusikojulikana.
 
Naumia sana ....tuungane na kuvipa nguvu na ushirikiano vyombo vya dola kumtafuta roma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…