Leo sijala mihogo asubuhi, nimebadilisha mlo. Najisikia furaha na wa kitofauti kabisa

Leo sijala mihogo asubuhi, nimebadilisha mlo. Najisikia furaha na wa kitofauti kabisa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Huu ni ushuhuda wangu kuwa Mimi ni mlaji mzoefu wa mihogo ninapoamka asubuhi

Leo asubuhi nimekunywa kahawa ya maziwa, mkate uliopakwa pinatibata na bluu bendi, tumbo langu limekuwa jepesi, halingurumi na sijasinzia kabisa

Ila Leo nimebadili ratiba kidogo kwa kupata mkate wa blueband na piinatibata.

Najisikia tofauti kabisa nina furaha , sioni usingizi wala sina uchovu

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
 
Mihogo ina shida gani?

Msidharau vyakula.

Hizo peanut butter na blueband zenyewe zinaleta magonjwa ya moyo.
 
Back
Top Bottom