Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Sawa mkuuAsante mkuu nishafahamu
Bila shaka amepanga kula chikeniwingi na ugali wa dona.Wewe mzee wa PINATIBATA mbona unajijibu mwenyewe na kuji quote ππππ
Haya mchana umepanga kula nn sasa?
Aliyeficha zile dawa zako akurudishie tu maana tutakupoteza πΉπΉNani huyo anajichua mkuu.
Unamaanisha migogo au michaga? πMigogo ina shida gani?
Msidharau vyakula.
Hizo peanut butter na blueband zenyewe zinaleta magonjwa ya moyo.
Wewe ni wa kifungua ndaniTufanye kazi sana mkuu
Aksante Mkuu kwa ushauriHongera Mkuu, mchana leo ule Pizza au Burger. Fanya mapinduzi ya tumbo Pinatibataππππ
Nani kakwambia?Mihogo ina shida gani?
Msidharau vyakula.
Hizo peanut butter na blueband zenyewe zinaleta magonjwa ya moyo.