Leo Simba akijitahidi ni sare, kipigo kimetawala sana hapa Dodoma

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Kocha mbrazil mi nampa matches 3 tu kuanzia leo. Nlisema kuwa hapa Simba walijisahau kuwa wapo Africa tena Tanzania. Kumleta kocha Mzungu wakati kuna Waswahili walishakaa na Team.

Leo hawa Mbwa wanaenda chezea kichapo. Si wanajifanya wao hawaamini ushirikina wana team nzuri? Dodoma Mji inaenda kuwalamba. Ndo wataanza kutafutana. Yaani wakijitahidi sana ni draw.

Mtaalamj wetu ameshaitwa aende kuwasadia Dodoma Jiji na ameenda mapema tu leo kuweka mazingara sawa. Sioni Simba wakishinda. Sioni.kila napotizama sioni wanamshindia wapi Ankoli ami angu toka Pemba ambaye amepelekwa jana Dodoma na leo ameshafanya yake.

YANGA ASIPOCHUKUA UBINGWA MWAKA HUU NIITWE MBWA DUME NIMEKAA PALE 👉
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
 
Wanajifanya Wana timu nzuri hawaamini uchawi??? Hii sentensi mbona inatutia mashaka Sana maana kilichotokea South Africa pale Orlando city stadium game ya Orlando pirates v Simba kila mtu anafahamu, saga la kapombe na mwenda kila mtu anafahamu, gadiel Michael kufungiwa mechi Tatu kisa ulozi kila mtu anafahamu[emoji3][emoji3]
 
Chizi huwa haponi
 
...Si wanajifanya wao hawaamini ushirikina wana team nzuri? Dodoma Mji inaenda kuwalamba. Ndo wataanza kutafutana. Yaani wakijitahidi sana ni draw.
Tunaomba urudi hapa bila kisingizio chochote
 
Upooo mtabiri fekeroo!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…