Yanga kashaitoa zesco? Achana na simba hangaika na yanga yakoLeo saa 10 jioni kunatarajiwa kuwa na game Kali Kati ya kagera sugar vs simba.simba imeshinda game 1 pekee Kati ya game 5 za mwisho waliokutana na kagera sugar na kagera kashinda game 4.
Bad news kwa Simba: watawakosa erasto nyoni,gadiel Michael na chama kwenye game ya leo.
Je Simba atatoboa Leo au ataendelea kugawa point kwa kagera sugar?
Simba ameshacheza na Man City au ameshafika Nusu fainali CAF?Yanga kashaitoa zesco? Achana na simba hangaika na yanga yako
Kuwakosa hao wala si bad news, tena hata Mkude, Manula, na Kagere wakikosekana, bado kikosi ni kipana mnoo na kitashindaBad news kwa Simba: watawakosa erasto nyoni,gadiel Michael na chama kwenye game ya leo.
piga hao mikia FC.Leo saa 10 jioni kunatarajiwa kuwa na game Kali Kati ya kagera sugar vs simba.simba imeshinda game 1 pekee Kati ya game 5 za mwisho waliokutana na kagera sugar na kagera kashinda game 4.
Bad news kwa Simba: watawakosa erasto nyoni,gadiel Michael na chama kwenye game ya leo.
Je Simba atatoboa Leo au ataendelea kugawa point kwa kagera sugar?
Mechi imeshanunuliwa nini?Naamin leo Simba anashinda, kukosekana kwa Erasto Nyoni ni pengo kubwa sana ila hao wengine hawana shida.
[emoji32][emoji32][emoji32]Sesten Zakazaka , Sanchez magoli,Sapta Sapta , Penison, Khaligraph Jordan , OKW BOBAN SUNZU, Ghazwat,Mtoto halali na hela nauliza tu vp mwiko unavunjwa leo?
Kuna mtu nimemuona yupo uchi pale Gerezani ... bila shaka utakuwa ni wewesimba akishinda leo natembea uchi Kariakoo.... Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
natumai muda huu wanaume wa kkoo wanajionea ma.ta.ko huko.simba akishinda leo natembea uchi Kariakoo.... Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
Vice versa is truesimba akishinda leo natembea uchi Kariakoo.... Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0