Habari za jioniKama kawaida kagera sugar anaenda kumpapasa simba masharubu kama kawaida yao
Camoooon kagera sugar goaaaal
Ndio ushavunjwaSesten Zakazaka , Sanchez magoli,Sapta Sapta , Penison, Khaligraph Jordan , OKW BOBAN SUNZU, Ghazwat,Mtoto halali na hela nauliza tu vp mwiko unavunjwa leo?
simba akishinda leo natembea uchi Kariakoo.... Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
Kinyume chake. Na uhakika umeishatembea tayarisimba akishinda leo natembea uchi Kariakoo.... Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
Duuh, upo mtaa gani mkuu...simba akishinda leo natembea uchi Kariakoo.... Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
Hujambo Shadeeya ? Vipi bado umevaa jezi ya Kagera Sukari🤣🤣🤣? Maana sijakuona baada ya mechiMikia ndio tuwape kipaumbele kwenye hili swala. 😀😀
Kama nawaona Mioyo inavyodunda kwa kasi kila wakiiwaza saa 10 na dkk 90 zitakavyokuwa.🤣🤣🤣
Sijui kwanini lakini nimejikuta nairudia hii post yako kila mara, una swali jingine mpenzi?Sesten Zakazaka , Sanchez magoli,Sapta Sapta , Penison, Khaligraph Jordan , OKW BOBAN SUNZU, Ghazwat,Mtoto halali na hela nauliza tu vp mwiko unavunjwa leo?