Leo Simba tunacheza 4-1-4-1 Kumkabili Ruvu Shooting kwenye AFC

Tukiwa tunashambulia kupitia kulia
 
Tukiwa tunashambulia kupitia kushoto
 
Wakitushambulia tunajilinda hivi
 
Tukishafunga magoli 5 tunabadilisha formation tunacheza 4-3-3
 
Mkuu, hapo kwenye kiungo mkabaji sidhani kama Lwanga anaweza kuanza pekeyake.

Nadhani bado hana match fitness kwahiyo hawezi kupewa jukumu la kukaba peke yake. Labda kama ataanza na Mzamiru kama "double pivot"

Vinginevyo, kikosi kiko vizuri
 
Ruvu shooting hamna timu pale saivi hata ingekua 9-1 simba anashinda tu.
 
isiwepo penati wala red card …………………...
 
Wawa na mkude wataanza halafu lwanga ataingia baadae.... morisoni pia hawezi kuanza moja kwa moja ataingia kipindi cha pili.. japo nakupongeza kikosi umekipanga vizuri...
 
Simba tupende kumchezesha Mugalu mara kwa mara ili again confidence, kiukweli mimi sijaona mshambuliaji ambaye anamuweka Mugalu bench kwa timu yetu ya simba, ndiyo hafungi kwa sasa lakini Mugalu ana faida sana mbele ukiwa na watu kama Banda na Sakho, haina ya ushambuliaji alionao Kagere umepitwa na wakati kwenye modern football.
 
Unaona mpira kama mimi. Mugalu akichezeshwa mara kwa mara ni bonge la striker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…