Leo STUNTER Ninatongoza LIVE mkishuhudia

ngoja nimalize kupika unitongoze mm after mesy
Honey, nakuahidi kukupenda hapa duniani, na kama kuna maisha baada ya kifo basi nitakupenda
pia, wewe ndio kilakitu kwangu, nakupenda leo,
kesho na milele yoote
 
scorpio me Usifanye wale wanaokuombea mabaya
wapate cha kuongea, hebu tuungane pamoja ili
tuwazalilishe
 
ewe kipenzi cha nafsi yangu, sikuahidi eti sitokufanya ulie, ila nakuahidi
kukufanya utabasamu hata kabla machozi
hayajakauka mashavuni mwako, nakupenda
malkia
 
Alafu ujue mimi lengo langu ni kuwa nawewe kila
sekunde ili nikufanye ufurahi kila dakika, na milele
yoote nitabaki upande wako, Hata ulimwengu
mzima ukutenge mimi nakuahidi kusimama
upande wako na kwapamoja tutashinda, I love u,
my love for u is real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…