Bawabu wa pili Senior Member Joined Nov 14, 2025 Posts 147 Reaction score 433 Nov 21, 2025 #1 Mzee wa ufafanuzi leo hapakaliki huko ndani, em tusubiri ufafanuzi wake atafafanua nini Attachments 1763736060617.png 1.3 MB · Views: 32
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Nov 21, 2025 #2 Watasema ni AI
Georgie Jr Senior Member Joined Aug 23, 2018 Posts 177 Reaction score 480 Nov 21, 2025 #3 Upepo umepuliza kinyeo cha kuku kiwe njee
Nyanje JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 1,861 Reaction score 2,388 Nov 21, 2025 #4 Ni kusudi la Mungu kuonyesha uwepo wake,wanaapa kwa vitabu vyake na jina lake kwamba Mungu ni shahidi yao kwahiyo kaamua kuwaweka wazi ili kuonyesha uwepo wake Ndugu zangu Mungu adhihakiwi nafikiri wanaendelea kupata darasa Mungu sio mzee wa msoga!
Ni kusudi la Mungu kuonyesha uwepo wake,wanaapa kwa vitabu vyake na jina lake kwamba Mungu ni shahidi yao kwahiyo kaamua kuwaweka wazi ili kuonyesha uwepo wake Ndugu zangu Mungu adhihakiwi nafikiri wanaendelea kupata darasa Mungu sio mzee wa msoga!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 24, 2025 #5 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw